Ijumaa, 6 Februari 2015

KIU NA NJAA YA HAKI

HERI WENYE KIU NA NJAA YA HAKI;MAANA WATASHIBISHWA.
MATH 5:6.

kiu ni hali ya mtu kuitaji kitu inaweza kuwa kunywaji au jambo fulani.

na njaa ni hali ya uhitaji wa chakula au jambo fulani. na kuna kiu na njaa ya mwili na roho pia sasa nataka ujue jambo kuhusu kiu na njaa ya kiroho ya mtu inavyotakiwa.

YESU alipokuwa anaongea jambo hili anakuwa anataka watu wajue kiu na njaa ya kiroho ambayo kwa hiyo watu wanatakiwa kuwa nayo ili wapate maji ya uzima na wapate chakula cha kiroho toka kwake na si chakula cha mwiki na maji ya mwili.

jambo la msingi bi kwamba tunapikuwa na kiu ya roho tunamfanya Mungu kuachilia visima vya maji yaliyohai na kuachilia chakula cha roho ambacho kinafanya mwanadamu kuhuishwa..

Pia tambua hili mstari wa b anasema " maana watashibishwa " 

kuna kujishibisha  luka 15:11-16.. na kushibishwa. mathayo 5:6b

1....kujishibisha ..luka 15:16:
ni hali ya kufanya jitihada mwenyewe uli upate kile unahitaji.mf wa mtoto huyu aliyepewa mali na baba yakemzazi na akazitapanya kea maisha yasiyopasa alupoona amrishiwa akaanzakuhitaji msaada tena hapo ndipo akatamani yeye mwenyewe kujishibisha. sikia si kweli kila mtu amefanikiwa kutapata yale anataka MUNGU ameruhusu lahasha wrngine wamelazimisha na hapo ndiyo chanzo watu hawana amani na mali na vitu vyao walivyochuma.

hawana amani na maisha yao kwani wanaishi kwa sababu ya mtu na si MUNGU;Wanaishi maisha ya mkatona wanajitesa kiwa wakati   kwani hawatembei na nguvu za MUNGU bali elimu zao tu. Mafanikio yao sio yatokanayo na MUNGU bali yatokanayo na shughuli na mipango yao ndiyo maana hapi kwenye shughuli zao hazi ulinzi wa MUNGU.Mfano msamalia analupokuwa kisimani akakurana na YESU anamwambia ukinywa maji nitakayokupa mimi hutaoba kiu tena..yako maji ysletatayo kiu tena na yapo yakarayo kiu milele .lin watu leo wanajisumbua maana watafuta hayo..naweza kuyaaita mafundisho yasiyo na uzima kama maji yasiyokata kiu rejea YESU amaposema "kila anywae maji haya ataona kiu tena,walakini anywaye maji nitakayompa mimi hataona kiu tena" yoh 4:11-26.

Yule mwanamke alifikili kuhusu maji ya kisima Yesu alimaanisha ya roho; usifikiri kama huyu mwanamke sasa tambua yako maji ya kisima(uliyoziea ) na yako maji ya Yesu(usiyoyajua wala kuyazoea.) sasa usiangaike na yale uliyokuwa nayo kabla fikiri upya ..acha kujichotea na kujinywesha/kujishibisha mwenyewe mwendee yesu.

2....KUSHIBISHWA...
Hapa tunaongea juu ya jambo analokufanyia mwingine yaani halipo ktk uwezo wako ..ila anafanya mwingine hapo tunaona anasema utasibishwa wewe ni kuchukua hatua ya kumwendea tu kwa bidii yako. hapa kuna siri ya ajabu sana kwani MUNGU anachohitaji ni miyo wa mtu sana na mtu mwenye njaa anategemea mwenye chakula ili apewe na ashibishwe na hicho pia mwenye kiu anategemea mwrnye maji ili anywe na kiu yake ikate. Yesu ndiye mwenye chakula pia yeye mwenyewe ndiye chakula na ni ndiye mwe nye maji mwendee yeye acha kufuata kawaida yako mwenyewe.,acha ya dini yako kristo akushibishwe mwenyewe kwa mema yake.


Sasa ni vizuri kujihadhari mtumaini MUNGU kwa moyo wako wote wala usitegemee akili zako mwenyewe. mith 3:5...TAFUTA KUSHIBISHWA KWA CHAKULA CHAKE NA MAJI YAKE WALS USIJISHIBISHE MWENYEWE.

Lebo: