Jumapili, 2 Novemba 2014

WITO WANGU

.
Kuna wakati wa kila mtu kwa kila kusudi la Mungu...uko wakati wa kulia na uko wakati wa kicheko.
Niliitwa mwaka 2007 ;rasimi kutumika shambani mwa BWANA  kabla sijaokika nilikuwa mtu nisiye jari mambo ya dini hata kidogo;kwa mwaka nilikuwa nasali mara mbili au mara moja......mama yangu alikuwa mkatoliki na baba yangu mmitume.Baada ya mama kufariki mwaka 2002;familia yetu ilikosa mwelekeo kabisa kwa kweli tuliishi kwa taabu sana. kiistoria mimi nilikuwa mroma baada ya mama kufa nikahamia mitume na maisha yangu yalikuwa ya sikitiko kabisa.. nilikuwa mtu mwenye majonzi siku zote
WITO  WA KUOKOKA.

Siku moja nilikuwa nimelala peke yangu ktk nyumba yetu mda wa saa kumi na moja asubuhi nikiwa sina usingizi alitokea mtu akaniambia emanuel nikaitika.Akaniambia nenda kanisani  nikakaa kimwa angawa nikawa nimejawa na woga.....Nilikaa kama wiki moja nikaenda kanisani ila bado sikuwa na amani;baada ya wiki kama tano hivi nilisafiri kwenda shule songea kutoka ileje mbeya.nikaanza kuishi maisha mapya na mjomba yangu aliyeokoka RAWLENCE KABUJE.

NIKAIKOKA.
Baada ya miezi mitatu nikaokoka niliokoka nikawamwanakasfeta tayomi mzuri. ingawa shetani ktk mwezi wa kwanza mpaka wa nne wa wokovu alinitafuta sana lkn BWANA Alinisaidia kusmama.

NINAPEWA WITO.

Mnamo mwezi wa nne 2008. kikiwa nimelala chumbani mnamo usiku nikiwa macho ilitokea sauti ikaniambia emanuel nimekuchagua kuwa nabii na mwinjilisti.Baada ya kusikia nilianza kubadilika na kuwa mwombaji isivyo kawaida na MUNGU alianza kufunua mambo mengi.

KUSIMAMA MADHAHUNI.

Siku ya kwanza kusimama madhanahuni ilikuwa miezi mitatu baada ya kusikia wito.MUNGU alianza kuonesha wito wangu kwa kufichua mambo yaliyokuwa yamejificha kwa watu kinabii na watu ndipo wakajua kuwa MUNGU ameniita hivyo.Toka hapo nikawa natumika sana kama nabii afundishaye yaani unabii unapewa kama somo la kuwafundisha watu ingawa unakuwa halisi kufunua maisha na una mamlaka ile ile.Kwa maana nyingine unabii unatafsiriwa kabisa na kuwapa watu.

BAADA YA HUDUMA YA MREFU.

Mungu aniongoza kuwa na watu wa kuomba nao;toka hapo ndipo nikawa na uwanda mpana wa kufanya huduma tokea hapo nimefanya mikutano na semina maeneo mengi ktk nchi yetu.nikiwa namtumbo MUNGU aliniambia panua hema yako mnamo mwaka 2010.Mungu aliniunganisha na kelvinmwelela na toka hapo huduma ikazidi kupanuka na mwaka 2013. ndipo kanisa la revival builders church likazaliwa na mwaka huo tukaanza mbalizi mbeya.

MWAKA WA MAAJABU.
Mwaka 2014,mwaka 2014 umekuwa mwaka wa mafanikio sana tumefanikiwa kufungua makanisa mawili mbeya na ruvuma. pia MUNGU ametuunganisha na watu wengi kihuduma na kuendelea mbele ktk mambo ya utawala na kihuduma.

UTUKUFU KWAKE YESU.

Lebo: