Jumanne, 16 Septemba 2014

Karibu

https://www.facebook.com/revivalbuilderschurch

Alhamisi, 11 Septemba 2014

UJENZI WA KANISA

HATUA TULIYOFIKA LEO

UJENZI WA KANISA.

Ujenzi ukiwa unaendelea hapa mpepo kata ya tingi ruvuma.

Jumatano, 10 Septemba 2014

KANISA LA REVIVAL BUILDERS CHURCH

Kanisa hili limeanzisha mwaka 2013 chini ya uongozi wa Emmanuel eliya kasebele,kelvin Emmanuel mwelela
beatus thadei MSUYA na Aliko falijala. Msingi wa kuanzisha kanisa ni ezeck 22:30"nami nikatafuta mtu miongoni mwao,atakayelitengeneza boma na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka,kwa ajili ya nchi nisije nikaiharibu,lkn sikuona mtu"

KANISA lipo kujenga misingi iliyoharibika katika kanisa na ktk jamii ya nchi na ulumwengu mzima. upendo halisi wa MUNGU uliopotea ktk kanisa unatakiwa kurejea,huduma za watoto wa MUNGU zinatakiwa kulelewa kama MUMGU alivyokusudia kwani kizazi hiki watumishi wengi hawapendani;kwa kusudi hili MUNGU ametupa maono haya ili tuweze kuyatengeneza yaliyoharibika. Ndani ya mwaka mmoja MUNGU amefanya tayari tunamtawi matatu ya kanisa na tumefika mikoa miwili;utukufu kwa BWANA YESU.

YEYE ALIYEANZISHA NDIYE ATAKAYETIMIZA.

Tumeendelea kujipatua na kwa kushirikiana na makanisa mengine ya kiroho tutaweza kujenga ufalme wa MUNGU wetu.